Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » ALIYEKUWA MLINZI WA GADDAFI ANG'ATWA NA NYOKA AKIJISAIDIA AJA NDOGO MSITUNI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Aliyekuwa wakati mmoja mlinzi wa mwana wa Gaddafi ambaye baadaye alifanya kazi katika baa moja nchini Australia ameumwa na nyoka alipokuwa akifanya haja ndogo msituni.
Raia huyo wa Australia Gary Peters alikuwa mlinzi wa Saad Gaddafi ,mwana wa aliyekuwa rais wa Libya Muamar Gaddafi lakini kwa sasa anafanya kazi katika kilabu moja.
Raia huyo mwenye umri wa miaka 52 alikuwa akinywa vinywaji pamoja na marafikize baada ya kazi siku ya Jumatano wakati alipotoka ili kwenda haja ndogo.
Bwana Peter alikuwa amemaliza kufanya haja ndogo wakati nyoka huyo alipomng'ata kifundo cha mguu.
Aliyekuwa rais wa Libya Muammar Gaddafi

Image copyright
Anasema aliona sumu ikimwagika kutoka kwa mguu wake na kuhofia kwamba angefariki.
''Nilimwagiwa sumu kidogo .Iwapo ningemwagiwa nyingi pengine ningekuwa katika jeneza alisema,'' Peters.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / ALIYEKUWA MLINZI WA GADDAFI ANG'ATWA NA NYOKA AKIJISAIDIA AJA NDOGO MSITUNI

No comments :