Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » HII NDIO HASARA NYINGINE ALIYOIPATA ZIDANE BAADA YA MADRID KUSHINDWA KUPATA POINTI TATU ETIHAD
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Kocha Mkuu wa Real Madrid, Zinedine Zidane amekutana na 'majanga' akiwa kazini baada ya surali yale kuchanika kw akiwango kikubwa hadi kusababisha nguo yake ya ndani kuonekana.

Nguo hiyo ilichanika wakati Zidane akiwa katika benchi akijaribu kuwaelekeza vijana wake. Ile rusha mguu, rusha mkono mara suruali ndiyo hivyo tena.

Mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imeisha kwa sare ya bila kufungana huku Madrid waliokuwa ugenini Etihad wakitawala zaidi mchezo.

Full Stori ya Mechi
Mchezo huo ni wa hatua ya Nusu Fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Kufuatia matokeo hayo Sasa timu hizo zitarudiana wiki ijayo katika Uwanja wa Bernabeu mjini Madrid Hispania katika mchezo wa marejeano.
Mchezo mwingine Wa nusu fainali unapigwa leo Jumatano ambapo Atletico Madrid watapepetana na Bayern Munchen Jijini Madrid katika uwanja wa Estadio Vicente Calderon. Fainali ya Michuano ya hii itapigwa Jumamosi tarehe 28.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / HII NDIO HASARA NYINGINE ALIYOIPATA ZIDANE BAADA YA MADRID KUSHINDWA KUPATA POINTI TATU ETIHAD

No comments :