Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » HII NDIO HUKUMU YA MCHEKESHAJI WA UJERUMAN ALIYEMKEJELI RAIS WA UTURUKI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Chansela wa Ujerumani Angela Merkel anasema kuwa serikali ya ujeremani imeidhinisha kufanyika uchunguzi dhidi ya mchekeshaji aliyemfanyia kejeli rais wa Uturuki .
Kisheria serikali ni lazima iidhinishe matumizi ya kipengee chochote cha sheria wakati wa kukejeliwa kwa kiongozi wa nchi nyingine.
Bi Merkel, amasema kuwa mahakama ndizo zina uamuzi wa mwisho. Uturuki ilitaka kuchukuliwa hatua za kisheria baada ya rais Recep Tayyip Erdogan kukejeliwa.
Waendesha mashtaka wataamua ikiwa wataendelea na kesi dhidi ya mchekeshaji huyo Jan Boehmermann, ambaye alitumia shairi kumkejeli rais Erdogan.
Ikiwa atapatikana na hatia, atapigwa faini au kufungwa jela. Baadhi ta wataalamu wanasema kuwa ana uwezo wa kujitetea kwa kuwa, shairi hilo linaonekana kuwa kichekesho kuhusu uhuru wa kusema na wala sio kejeli.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / HII NDIO HUKUMU YA MCHEKESHAJI WA UJERUMAN ALIYEMKEJELI RAIS WA UTURUKI

No comments :