Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » KWA KOSA ALILOFANYA VARDY HII NDIO ADHABU KUTOKA FA Y AENGLAND
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mshambuliaji wa Leicester City Jamie Vardy amefunguliwa mashtaka ya utovu wa nidhamu na chama cha soka cha nchini England FA.
Vardy alifanya vitendo vya utovu wa nidhamu baada ya kupewa kadi nyekundu na mwamuzi Jon Moss katika mchezo wa Jumapili dhidi ya West Ham.
Ripoti ya mwamuzi huyo imedai kuwa mshambuliaji huyo alifanya utovu wa nidhamu kwa majibu yake mara baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu na ndio maana amefunguliwa mashtaka hayo.
Iwapo atapatikana na hatia, bali ya kuzuiwa kucheza mechi 1 kutokana cha kadi nyekundu sasa anaweza kufungiwa zaidi ya hapo. FA pia imefungulia mashtaka Leicester City kwa kushindwa kuwadhibiti wachezaji wao wakati wa mechi hiyo hiyo na West Ham.

Msimamo wa EPL hadi sasa baada y amechi ya spurs jana usiku ni huu hapa>>
Jedwali la msimamo wa ligi ya EPL kufikia 19 Aprili, 2016.

NambariKlabuMechiMabaoAlama
1Leicester342673
2Tottenham343968
3Man City332860
4Arsenal332260
5Man Utd331056
6West Ham331253
7Southampton341051
8Liverpool32951
9Stoke34-1047
10Chelsea33444
11Everton33941
12Watford33-541
13Bournemouth34-1641
14West Brom33-940
15Swansea34-1140
16Crystal Palace34-739
17Norwich34-2531
18Sunderland33-1830
19Newcastle33-2628
20Aston Villa34-4216

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / KWA KOSA ALILOFANYA VARDY HII NDIO ADHABU KUTOKA FA Y AENGLAND

No comments :