Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » NIMEKAA TU PEMBENI NAONA JINSI HALOTEL WANAVYOFUNGWA KESHO JAMHURI DODOMA DHIDI YA RASI FM SC ..MAFUNDI WA DODOMA......NI KAMPA , KAMPA TENA WAASISI UTAWAONA HAPO
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Kushoto ni mtangazaji wa Rasi Fm {Babu} akiwa na wawakilishi wa kampuni ya Halotel {MAAFISA MASOKO } waliofika kucheki utaratibu wa mechi ya kesho jumapili pia kuomba kupunguziwa kipigo .

Kikosi hiki ni cha mauaji kinachoweza kuwaadhibu vikali wapinzani wowote wanaofika mbele yake.

lakini hapo kesho watacheza baadhi tu lakini wengi watakuwa benchi kuwapa angalau unafuu wapinzani kutokana na urafiki walio nao.

kikosi kitakachoanza cha Rafi Fm Stars hiki hapa tena kwa namba na reserves

1.Rashid Hussein Mbegan.

2.Aisha Ndumbalo

3.Peris John

4.Smash Ratino

5.Denis Kazenzele {Mr Khan

6.Baraka Gangata {kaka mkubwa}

7.Hassan {Mzee wa Kofia}

8.Dj Jadu

9.Josephine Charles {Da JO}

10.Happy Balisidya

11.Kichuna { Aunt K}

SUB

Revocatus Andrew {Babu}

Alex Mtalika {Fundi}

Mwalipesa Atilio

Hamis Shaaban {pistor}

Ipyana Mwakasendile {Mzee wa Kuogelea}
Unakosa nini kufika uwanjani? N ninakunong'oneza kuwa Wapinzani wamegoma kutaja kikosi  kwa kuofia kuhujumiwa..........

MECHI ITAANZA SAA KUMI KAMILI UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA.....

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / NIMEKAA TU PEMBENI NAONA JINSI HALOTEL WANAVYOFUNGWA KESHO JAMHURI DODOMA DHIDI YA RASI FM SC ..MAFUNDI WA DODOMA......NI KAMPA , KAMPA TENA WAASISI UTAWAONA HAPO

No comments :