Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » WIZARA YA NISHATI NA MADINI NA SHIRIKA LA MAENDELEO YA PETROL HAKUNA MFUMO WA KUZINGATIA UFANISI,............
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Ofisi ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu imebaini Wizara ya Nishati na Madini na shirika la maendeleo ya Petroli hayana mfumo wa kuzingatia ufanisi, ubora na maadili katika kusimamia mchakato wa utoaji wa mikataba na leseni kwa makampuni ya utafutaji mafuta na gesi nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukabidhi ripoti za ukaguzi za mwaka 2014/15 kwa Spika wa bunge. 

Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali Prof.Mussa Asaad amesema wizara ya nishati na madini haina mpango wa ufuatiliaji, tathimini na utoaji taarifa za utendaji wa uendelezaji ikiwemo rasilimali watu katika sekta ya mafuta na gesi asili nchni.

Kuhusu sakata la umiliki wa kampuni ya usafiri Dar es Salaam UDA Profesa Asaad ameitaka serikali kuwachukulia hatua za kisheria bodi ya wakurugenzi wa UDA kwa kuuza hisa za shirika hilo bila kupata kibali cha serikali pamoja na kutoa punguzo la asilimia 60 kwa hisa za mwekezaji.

Aidha kuhusu deni laTaifa amesema linakuwa kwa asilimia 27 wakati uchumi haukuwi kwa kiwango hicho na kusababisha malipo kwa ajili ya madeni yanatumia zaidi ya asilimia 46 ya pato la taifa ukujumlisha na malipo ya mishahara yanaweza maliza bajeti yote ya nchi

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / WIZARA YA NISHATI NA MADINI NA SHIRIKA LA MAENDELEO YA PETROL HAKUNA MFUMO WA KUZINGATIA UFANISI,............

No comments :