Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » BAJETI YA WIZARA YA NISHATI YAPITISHWA, TRILION 1.22 KUMALIZA MATATIZO Y AUMEME NCHI NZIMA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Bunge limepitisha bajeti ya wizara ya nishati na madini kwa mwaka wa fedha 2016/17 huku wabunge wakiitaja bajeti hiyo kama chachu ya Tanzania yenye viwanda kupatikana kufuatia uhakika wa umeme nchi nzima kuahidiwa.

Baadhi ya wabunge wamesema mipango mingi  ya upatikanaji wa umeme ambayo imeelezwa katika bajeti hiyo inatekelezeka na kuwa wana imani kubwa na Waziri mwenye dhamana ya wizara hiyo Sospeter Muhongo katika kusimamia utekelezaji wake.
 
Wabunge wengine wameishauri Serikali kuboresha usimamizi wa sekta  ya madini kwa kuwa bado kuna  mapungufu makubwa katika usimamizi wa sekta hiyo na kama itasimamiwa ipasavyo mapato yatokanayo na sekta hiyo yataongezeka.
 
Kufuatia kupita kwa bajeti hiyo ambayo ni shilingi trilioni 1.22  kunatoa fursa kwa bajeti ya wizara ya ardhi na maendeleo ya makazi kuweza kujadiliwa kwa siku mbili ambazo ni jumamosi na jumatatu

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / BAJETI YA WIZARA YA NISHATI YAPITISHWA, TRILION 1.22 KUMALIZA MATATIZO Y AUMEME NCHI NZIMA

No comments :