Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MESSI NA BABA YAKE WAMEFIKA MAHAKAMANI LEO JIJINI BARCELONA KUJIBU HAYAY..........
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mchezaji wa kimataifa wa Argentina anayeichezea klabu ya FC Barcelona ya HispaniaLionel Messi na baba yake mzazi Jorge Messi wanatuhumiwa kwa kosa la ukwepaji kodi na leo May 31 2016 inaripotiwa kesi yao kuanza kusikilizwa katika jiji la Barcelona Hispania.
Messi ambaye ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia mara tano, anajiandaa na michuano ya Copa America itakayofanyika mwaka huu USA, lakini kesi inayomkabili ya ukwepaji kodi wa Pound milioni 3.2 ambazo ni zaidi ya bilioni 10 za kitanzania imeanza kusikilizwa.
Mwanasheria wa Messi na baba yake akizungumza na vyombo vya habari kwa niaba ya staa huyo na baba yake.
Kiasi cha kodi wanachodaiwa Messi na baba yake, walikwepa kulipa kodi hiyo kati ya mwaka 2007 na 2009 wakati mauzo ya picha za staa huyo wa FC Barcelona, ofisi ya waendesha mashtaka wamependekeza Lionel Messi na baba yake wahukumiwe miezi 22 jela.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MESSI NA BABA YAKE WAMEFIKA MAHAKAMANI LEO JIJINI BARCELONA KUJIBU HAYAY..........

No comments :