Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » » PITIA PICHA HIZI MUHIMU KATIKA UFUNGUZI SEMINA YA SIKU MOJA WA VIONGOZI WA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA MJINI DODOMA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

 Makamu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (WWT) kwenye ufunguzi wa semina hiyo ya siku moja iliyofanyika ukumbi wa CCM Makao makuu,Dodoma jana,kutoka kulia ni Mama Salima Kikwete,Katibu Mkuu wa WWT Amina Mwakilangi,Mwenyekiti wa WWT Sophia Simba na kushoto ni Dkt Tulia Ackso Naibu Spika.

Makamu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye semina ya viongozi mbalimbali wa Umoja wa Wanawake Tanzania (hawapo pichani) iliyofanyika ukumbi wa CCM Makao Makuu Dodoma jana .
Picha Peter Mkwavila.

Baadhi ya viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania wakimsikiliza Makamu Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) wakati akifungua semina ya siku moja iliyofanyika ukumbi wa CCM Makao makuu Dodoma jana .
Picha Peter Mkwavila
Viongozi mbalimbali wa Umoja wa Wanawake Tanzania (WWT) wakisikiliza jambo kwa makini  kwenye mkutano wa umoja huo uliofanyika katika ukumbi wa CCM Dodoma jana .

Picha Peter Mkwavila Dodoma.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / / PITIA PICHA HIZI MUHIMU KATIKA UFUNGUZI SEMINA YA SIKU MOJA WA VIONGOZI WA UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA MJINI DODOMA

No comments :