Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » TANZIA: INSPECTOR ALLY KINYOGOLI AMEPIGWA RISASI NA KUPOTEZA MAISHA NA WATU WALIOKUWA NA PIKIPIKI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Watu wasiojulikana wakiwa na pikipiki aina ya Boxer,usiku wakuamkia leo wamemuuwa kwa kumpiga risasi kadhaa katika sehemu mbalimbali za mwili wake Askari wa Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani, Ally Kinyogoli nyumbani kwake Mwandege, Mkuranga mkoani Pwani.

Baada ya kumuua, watu hao walitokomea kusikojulikana bila kuchukua kitu chochote

Kinyogoli alijizolea umaarufu katika kipindi cha redio One kila siku asubuhi alipokua akitoa taarifa za hali za barabarani zikiwemo njia zenye foleni kwa wakazi wa jijini.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / TANZIA: INSPECTOR ALLY KINYOGOLI AMEPIGWA RISASI NA KUPOTEZA MAISHA NA WATU WALIOKUWA NA PIKIPIKI

No comments :