Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » YANGA KAMA ULAYAAAAAAAAAAAAAA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Azam FC imeifunga kwa Kagera Sugar kwa mabao 2-1 katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.

Ushindi huo unairejesha Azam FC katika nafasi ya pili ya Ligi Kuu Bara baada ya Simba kupoteza kwa kuchapwa bao 1-0 na Mwadui FC, leo.

Kwani Azam FC imefikisha 70 baada ya kucheza mechi 28 na Simba inaendelea kubaki na pointi 68 ikiwa na mechi 27.

Tayari bingwa wa Bara ameishapatikana ambaye ni Yanga na sasa itakuwa ni vita ya Azam na Simba kuwania nafasi ya pili ambayo ni kama heshima tu au wingi wa fedha kutoka Vodacom.

Yanga wameubeba ubingwa kwa mara ya pili mfululizo wakiwa na mechi tatu mkononi.

Msimu uliopita walibeba ubingwa wakiwa na mechi mbili mkononi, lakini safari hii wamechukua wakiwa na mechi tatu. Hii imetokana na Simba kupokea tena kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Mwadui FC.

Kutokana na kipigo Yanga inabeba ubingwa ikiwa na pointi 68 ambazo hata kama Simba itashinda mechi zake tatu zilizobaki, itafikisha pointi 67 na Azam FC ikishinda mbili zilizobaki itakuwa na 66.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / YANGA KAMA ULAYAAAAAAAAAAAAAA

No comments :