Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MWANAMUZIKI WA MAREKANI APIGWA RISASI NA KUUWAWA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mwanamuziki wa Marekani Christina Grimmie ameuawa kwa kupigwa risasi katika mji wa Orlando jimbo la Florida.
Mwanamuziki huyo alikuwa mmojawapo wa wanaomenyana katika kipindi cha muziki maarufu cha The Voice.
Amepigwa risasi wakati akitangamana na mashabiki wake baada ya kuwatumbuiza.
Polisi wanasema aliyetekeleza mauaji hayo amejiua.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MWANAMUZIKI WA MAREKANI APIGWA RISASI NA KUUWAWA

No comments :