Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » HUZUNI, VILIO VYATAWALA WAKATI RAIA WA AFGHANISTAN WAKIZIDI KUOMBOLEZA VIFO VYA WENZAO 80
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Raia kote nchini Afghanistan wanashiriki katika siku ya maombolezo, kufuatia shambulio la bomu la mlipuaji wa kujitoa mhanga, lililofanyika jana Jumamosi katika mji mkuu wa nchi hiyo-Kabul.

Watu themanini waliuwawa, huku zaidi ya 200 walijeruhiwa.

Mlipuaji bomu alikuwa akiwalenga waandamanaji wa jamii ndogo ya Hazara - ambao wengi wao ni waislamu wa Ki-Shia.

Kundi la Islamic State - linachoshirikisha wapiganaji wenye msimamo mkali wa waisalmu wa Ki-Sunni- kimekiri kuhusika na shambulio hilo.

Rais wa Afghan, Ashraf Ghani, ameahidi kulipiza kisasi.

Ujumbe wa Umoja wa mataifa nchini Afghanistan, umetaja shambulio hilo kama uhalifu wa kivita.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / HUZUNI, VILIO VYATAWALA WAKATI RAIA WA AFGHANISTAN WAKIZIDI KUOMBOLEZA VIFO VYA WENZAO 80

No comments :