Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MASIKITIKO: AJALI YA MABASI KAMPUNI YA CITY BOY YAMEUA WATU 29, ACP SINGIDA,BINGWA WA UPASUAJI MIFUPA GENERAL HOSPITAL DODOMA NA SHUHUDA SAUTI ZAO ZIKO HAPA....PIA PICHA ZA AJALI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Ajali mbaya iliyohusisha mabasi mawili ya kampuni ya City Boy imetokea katika kijiji cha Maweni wilaya ya Manyoni, Singida na kusababisha watu 29 kupoteza maisha papo hapo huku chanzo cha ajali kikitajwa kuwa ni mwendo kasi.

Mabasi hayo yenye namba za usajili T531 DCE na T247 DCD, moja lilikuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea Kahama na lingine likitokea Kahama kuelekea Dar es Salaam.

Moja ya mashuhuda wa ajali hiyo amesema kuwa madereva wa mabasi yote walikuwa katika mwendo kasi na wakati ajali inatokea walikuwa wakisalimiana kwa kunyosheana mikono kisha basi moja kupoteza mwelekeo na kuingia upande wa basi lingine na ndipo yakakutana uso kwa uso na kusababisha ajali hiyo.

Kamanda wa Polisi Singida, Thobias Sedoyeka tayari amethibittisha kutokea ajali hiyo na uchunguzi zaidi unaendelea kufanyika.

Katika hatua nyingine Rais Magufuli ametuma salamu za rambirambi na kueleza kuwa amepokea taarifa hiyo kwa mshtuko na amesikitishwa na ajali hiyo ambayo imechukua maisha ya watanzania.

Hii hapa sauti ya Acp Singida,daktari bingwa wa mifupa hospitali ya mkoa wa dodoma na shuhuda wa ajali hiyo>>>>

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MASIKITIKO: AJALI YA MABASI KAMPUNI YA CITY BOY YAMEUA WATU 29, ACP SINGIDA,BINGWA WA UPASUAJI MIFUPA GENERAL HOSPITAL DODOMA NA SHUHUDA SAUTI ZAO ZIKO HAPA....PIA PICHA ZA AJALI

No comments :