Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » PICHA: SHILOLE AWATOA NISHAI MASHABIKI, WAO WANG'ANG'ANIA KIUNO JUKWAANI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Msanii wa muziki Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amewatoa udenda wakutosha mashabiki wa muziki wake hivi karibuni baada ya kuwapa nafasi ya kushika kiono chake.

Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake‘Say My Name’ amefanya tukio hilo katika show yake iliyofanyika Jumamosi iliyopita katika hotel ya Kijiji Beach Kigamboni.

Katika picha mbalimbali ambazo zimesambaa katika mitandao ya kijamii zinamuonyesha muimbaji huyo akishikwashikwa kiuno na mashabiki hao huku wakionyesha kufurahiwa na kitendo hicho.

Pia katika show hiyo muimbaji huyo aliambatana na msanii wake ‘Gaucho’.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / PICHA: SHILOLE AWATOA NISHAI MASHABIKI, WAO WANG'ANG'ANIA KIUNO JUKWAANI

No comments :