Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » UPINZANI ZAMBIA WALALAMIKIA UCHAPISHAJI KARATASI ZA KURA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Makamu rais wa chama cha upinzani cha UPND cha Zambia, Geoffrey Mwamba.

Tume ya uchaguzi ilitoa zabuni kwa kampuni ya Al Ghurair kutengeneza karatasi zote za kura zitakazotumika kwenye uchaguzi wa Rais, bunge na serikali za mitaa pamoja na kura ya maoni.Serikali imesema kuwa uchapishaji huo sasa umekamilika.

Hata hivyo vyama vya upinzani kikiwemo kile cha United Party for National Development UPND vimesema kuwa kuchapisha karatasi hizo nje ya bara la Afrika ni gharama kubwa na kwamba serikali inaweza kutumia nafasi hiyo kuiba uchaguzi. Miaka iliopita, karatasi ya kura za Zambia zilichapishiwa Afrika Kusini.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / UPINZANI ZAMBIA WALALAMIKIA UCHAPISHAJI KARATASI ZA KURA

No comments :