Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » KAMA KUISOMA NAMBA ILIKUWA NI KWA JINSI HII, WALA HATUISOMI BALI.......................................
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

kipindi cha kampeni kuna wimbo maarufu ulikuwa ukipigwa hata wapinzani niliwahsikia kwa mbaaaaaali wakiuimba na kucheza Maarufu kwa......WATAISOMA NAMBA....wengi walikuwa wakiilazia kwa wapinzani lakini haikuwa hivyo bali ni kumpa nafasi mtu mmoja kwa kumnyang'anya mwingine kitu ambacho sasa kimeingia katika masuala ya vyombo vya habari na wanamuziki.
 
Wakati baadhi ya wasanii na wadau mbalimbali wa burudani nchini wakiendelea kuwa na hofu juu ya mfumo mpya unaovitaka vituo vya redio na runinga kuwalipa wasanii mirahaba inayotokana na kucheza kazi zao, serikali imesema imeunda sheria ambayo itavifanya vishindwe kuepuka kucheza nyimbo za wasanii wa ndani.

Akizungumza  kwenye uzinduzi wa filamu ya ‘Home Coming’ Mlimani City jijini Dar es Salaam, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye alisema sheria hiyo inazitaka TV na Redio zenye vipindi vya burudani kuhakikisha 60% ya content ni ya nyumbani.

“Tumeshatangaza kuanzia tarehe moja mwezi wa kwanza 2016 kila muziki wa msanii utakaopigwa kwenye redio ma television utalipiwa.

"Sheria ilishasainiwa na tumekubaliana na watu wa COSOTA wataisimamia na tumeweka kampuni ya kusimamia muziki umepiga mara ngapi na TV gani.

“Mimi nataka watu waniamini historia yangu, waamini watu watalipwa na haki yao wataipata na jasho lao watalipata. Nilichowaambia kila jambo jipya lazima litakuwa na mapungufu ila sheria ndio zitatuongoza, kila redio na TV zenye vipindi vya burudani wanatakiwa kuhakikisha 60% ya content wanayoitoa iwe ya nyumbani, hakuna wakukwepa hili,” alisisitiza Nape.

Pia Nape alisema tayari ameshakaa na wahusika wa nyombo vya habari na kuzungumzia namna ya utekelezaji wa suala hilo.

“Vyombo vya habari ndio wamekuwa wakinisukuma kufanya hivyo, kwahiyo kama wao ndio wameamua hivyo sisi ulikuwa ni utekelezaji na naamini kila kitu kitaenda sawa.”
 
ukweli ni kwamba  namba haisomwi kwa mtindo huo kwa hiyo na vyombo vya habari ni lazima ifaidike na kuutambulisha muziki wa nyumbani, tofauti na hapo itakuwa msanii ni lazima ailipie single yake kabla ya kupigwa studio kwa utambulisho na hapo ndipo tutakapo jua kwamba hii kitu itawafaidisha wasanii au itawapoteza....?>>>
 
asante awamu ya nne lakini kwa hili Fikirieni upya katika hili.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / KAMA KUISOMA NAMBA ILIKUWA NI KWA JINSI HII, WALA HATUISOMI BALI.......................................

No comments :