Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » » ALICHOKISEMA MH.MBATIA KUHUSU KAULI YA SPIKA NDUGAI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Jana August 21 2016 kupitia kipindi cha funguka kinachorushwa na kituo cha television cha Azam two Tv, mbunge wa Vunjo na mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia aliizungumzia kauli iliyotolewa na Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano Mh Ndugai kuwa anakusudia kutafuta maridhiano baina ya wabunge wanaounda umoja wa katiba, UKAWA na naibu Spika.

Mbatia alisema, Kauli ya Spika Ndugai ni kauli yenye kuleta matumaini kwa sababu wao ndani ya wabunge wa upinzani walichokuwa wanataka ni  maridhiano....
kazungumza mengi, unaweza kuyapata hapa chini

Msikilize hapo chini akiongea>>>>>

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / / ALICHOKISEMA MH.MBATIA KUHUSU KAULI YA SPIKA NDUGAI

No comments :