Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » KAMA ZARI KWA YANGA: FIFA WASEMA HAKUNA NOMA SAANA, MASAA 48 YANAWATOSHA KUMALIZA USAJILI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Kuna taarifa kwamba Shirikisho la Soka la Kimataifa limefungua tena dirisha la usajili kwa saa 48.

Taarifa kutoka ndani ya TFF zinasema Kuanzia leo, dirisha hilo la usajili litafungwa Jumapili saa 6 usiku, kwenda Jumatatu na hii ni nafasi kwa klabu ambazo hazikuwasilisha usajili kukamilisha.

Mabingwa wa Tanzania, Yanga pamoja na Coastal Union pia African Lyon zilikuwa kati ya timu za Ligi Kuu Bara na Daraja la Kwanza ambazo hazikuwa zimekamilisha usajili.

Hii inaweza kuwa nafasi ya klabu hizo kumalizana na suala hilo ili kutulia na kulenga maandalizi ya mwisho kabla ya kuanza Ligi Kuu Bara, wiki ijayo.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / KAMA ZARI KWA YANGA: FIFA WASEMA HAKUNA NOMA SAANA, MASAA 48 YANAWATOSHA KUMALIZA USAJILI

No comments :