Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » KUHUSU WANAFUNZI HEWA MHESHIMIWA JAFFO ANENA HAYA MJINI DODOMA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Picha kwa msaada wa mtandao

Na John Banda, Dodoma

NAIBU waziri wa TAMISEMI Seleiman Jaffo amesema swala la wanafunzi hewa si jambo dogo bali ni jambo ambalo limekuwa likifanywa na watumishi wasio waamifu kwa muda mrefu sasa katika idara ya Elimu ambapo kutokana na hilo Serikali imetoa maelekezo kwa wakurugenzi wote nchini kutoa idadi ya wanafunzi

Akiongea katika kamati hiyo ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa [Tamisemi] alisema kwa sasa Serikali inatoa 18.7.7 Bilion kwa ajili ya kugalimia Elimu Bure

Jaffo alisema kuwa kitendo hicho cha uwepo wa wanafunzi hewa ni mchezo ambao umezoeleka kwa kuwa imegundulika kuwa umekuwa ukifanywa tangu zamani ambapo kwa serikali hii hauwizi kuendelea

Alisema kuwa hivi sasa serikali imeshatoa maagizo kwa mikoa na halmashari zote nchini  kwa wakurugenzi kupeleka taarifa ya wanafunzi waliyopo shuleni kiasi cha fedha zilizotumika kuwahudumia ambayo itasaidia kudhibiti Fedha za serikali

“lengo letu ni kuwa tunapotoa mgao wa fedha kwa kila shule zitosheleze mahitaji ya  kuhudumia kila mwanafunzi, kwa sasa kila mwalimu anapokea Fedha za kuhudumia wanafunzi wa shule yake Katika hili tumejiapanga kuwahudumia watanzania na hivyo kila kitu kitaenda sawa” alisema

Aidha Jaffo alikiri kuwa hivi sasa kuna tatizo kubwa la upungufu wa walimu hasa wa sayansi na hisabati ambapo kutokana na hilo wanategemea rais atakaporidhika kutokana na uchunguzi aliokuwa akiufanya tatizo hilo litamalizwa kwa awali ilionekana walimu wengi wanaajiliwa kwa utaratibu usiofaa.

“leo tumekutana na kamati ya tamisemi na mtazamo wao mkubwa ni huo kuhusu upungufu wa walimu lakini niseme tu kuwa Rais alisimamisha mchakato wa ajira ili kupisha uchunguzi lakini mara atakaporidhika mambo yote yatakuwa sawa”, alisema

aliongeza kuwa hata upandishaji wa madaraja ya walimu mtindo uliokuwa ukitumiwa ni wa hongo ya ngono na ndiyo sababu ilifika wakati wakilinganishwa walimu wenye vyeo na wasio na vyeo kulikuwa na utofauti kwa wasio na vyeo ndio walikuwa na uwezo wa kufanya kazi kiueledi kuliko wakubwa wao

alisema tayari serikali imeshaunda tume ya kulifuatilia hilo na kuhakikisha walimu wote watakaopandishwa vyeo ni wale wanaostahili na si vinginevyo

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / KUHUSU WANAFUNZI HEWA MHESHIMIWA JAFFO ANENA HAYA MJINI DODOMA

No comments :