Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MBWANA ALLY SAMATTA, MTANZANIA WA KWANZA KUCHEZA EUROPA LEAGUE, AMEFUNGA MAGOLI MAWILI KATIK AMECHI MBILI ZA MWISHO...TUTARAJIE KUMUONA AKISHINDANA NA VILABU KAMA MAN U
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Hatimaye ndoto ya watanzania kumwona mtanzania mwenzao, Mbwana Ally Samatta akicheza katika mashindano yanayoshika nafasi ya pili kwa ukubwa barani Ulaya ambayo yanahusisha vilabu ya Europa League sasa imetimia.
Hilo limekamilika baada ya Genk kuibuka na ushindi wa goli 2-0 dhidi ya NK Lokomotiva na hivyo kuwa na ushindi wa jumla wa goli 4 kwa 2, ushindi ambao umeiwezesha Genk kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Vilabu Ulaya (UEFA Europa League).
Katika michezo yote miwili ambayo Genk imefunga magoli mawili, Samatta amefunga magoli mawili na mwenzake Leon Bailey akifunga mawili.
Droo ya makundi inataraji kupangwa leo Ijumaa na michezo ya kwanza inataraji kuchezwa Septemba, 15.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MBWANA ALLY SAMATTA, MTANZANIA WA KWANZA KUCHEZA EUROPA LEAGUE, AMEFUNGA MAGOLI MAWILI KATIK AMECHI MBILI ZA MWISHO...TUTARAJIE KUMUONA AKISHINDANA NA VILABU KAMA MAN U

No comments :