Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » UKATILI NCHINI SYRIA UNAVYOJIDHIHIRISHA WAZI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Hali ya kuogopesha inayoanisha janga katika vita vya nchini Syria imejionyesha katika picha moja iliyopigwa ikimuonyesha mtoto aliyejeruhiwa.

Picha hiyo inamuonyesha mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 5, aliyekuwa amekaa kwenye kiti cha gari la wagonjwa baada ya mashambulizi nyumbani kwao Aleppo, huku hatma ya wazazi wake walipo ikiwa haijulikani.

Akiwa amejaa mavumbi mwili mzima baada ya kuokolewa kwenye vifusi vya nyumba yao iliyoshambuliwa katika eneo moja la Omran Daqneesh, uso wa mtoto huyo uliokuwa ukitiririka damu huku akiwa ameduwaa.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / UKATILI NCHINI SYRIA UNAVYOJIDHIHIRISHA WAZI

No comments :