Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » USIPOISHANGILIA UTAISIMULIA: YANGA SC KAMA KAWA TA- TATU BILA........IMEANZA NAMNA HIYO DHIDI Y AAFRICAN LYON
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC leo wameanza vizuri ligi hiyo baada ya kuishushia kichapo cha mabao 3-0 timu ya African Lyon katika mechi iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Alikuwa Deus Kaseke aliyeanza kuipatia Yanga bao la kwanza baada ya mabeki wa Lyon kujua ameotea katika dakika ya 18 ya mchezo huku Simon Msuva akifunga bao la pili dakika ya 60 akipokea pasi ndefu kutoka kwa Thaban Kamausoko.
Juma Mahadhi alipigilia msumari wa mwisho kwa African Lyon baada ya kuipatia Yanga bao la tatu akipokea pasi safi kutoka kwa Yusuph Mhilu katika dakika ya 90.
Hadi mwisho wa mchezo, Yanga 3, African Lyon 0

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / USIPOISHANGILIA UTAISIMULIA: YANGA SC KAMA KAWA TA- TATU BILA........IMEANZA NAMNA HIYO DHIDI Y AAFRICAN LYON

No comments :