Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » BIFU LA MOURINHO NA WENGER BADO BICHIIII, HII NDIO NAMNA YA KUPEANA MIKONO WANAPOKUTANA UWANJANI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Unaweza kusema hawa wazee wana lao jambo. Jose Mourinho na Arsene Wenger wanaonekana kweli hawaivi chungu kimoja.

Baada ya mechi ya Ligi Kuu England kati ya Manchester United dhidi ya Arsenal, makocha hao walipeana mkono kwa staili ambayo inaonyesha ilimradi.

Mara baada ya mechi walikutana na kupeana mkono kama sehemu ya kutimiza wajibu lakini hakuna aliyemtazama mwenzake usoni wala kuzungumza.

Mechi hiyo iliisha kwa sare ya bao 1-1, Arsenal wakisawazisha mwishoni kupitia Mfaransa Olvier Giroud aliyeingia kipindi cha pili.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / BIFU LA MOURINHO NA WENGER BADO BICHIIII, HII NDIO NAMNA YA KUPEANA MIKONO WANAPOKUTANA UWANJANI

No comments :