Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MKUSANYIKO BONGO NA MBELE KIMICHEZO HII HAPA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

TFF YAMUONDOA SAANYA LIGI KUU BARA.
MAREFA waliochezesha mchezo namba 49 kati ya Yanga na Simba, Martin Saanya na Samweli Mpenzu wametolewa kwenye ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, huku suala lao likipelekwa kwenye Kamati ya Waamuzi ili ishughulikie tatizo lao kitaalam.
Maamuzi hayo yamefanyika baada ya Kikao cha Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji ya Bodi ya ligi, kuwaita na kuwahoji na kuangalia mkanda wa mchezo husika. Kamati imebaini mapungufu mengi ya kiutendaji yaliyofanywa na waamuzi hao, na hivyo kuitaka kamati ya waamuzi ishughulikie.
Pia Mwamuzi Rajabu Mrope aliyechezesha mchezo namba 108 kati ya Mbeya City na Yanga naye ametolewa kwenye Ratiba ya Ligi Kuu ya Vodacom msimu 2016/2017 na kurudishwa kwenye Kamati ya Waamuzi ili waweze kumpangia daraja lengine la uamuzi.
Mrope alitiwa hatiani kwa kosa la kutojiamini mchezoni na kwenye uamuzi wake na kushindwa kuudhibiti mchezo. Miongoni mwa matatizo ya mwamuzi huyo ni kukubali goli, kisha kukataa na mwisho kukubali tena hali iliyoonyesha kutokujiamini na kusabisha mtafaruku mkubwa katika mchezo huo.

KATIKA LIGI YA DARAJA LA KWANZA,
Mwamuzi Thomas Mkombozi aliyechezesha mechi namba 15B kati ya Coastal Union na KMC ameondolewa kwenye orodha ya waamuzi kutokana na kushindwa kuudhibiti mchezo na kutoshirikiana na wasaidizi wake.
Adhabu hiyo ametolewa baada ya Kamati ya usimamizi na uendeshaji wa ligi kuwaita waamuzi wa mchezo huo na kufanya mahojiano nao na kugundua Mkombozi alikuwa na maamuzi mengi bila umakini na hakushirikiana kiufundi na wasaidizi wake.
Kutokua makini kulisababisha mchezo huo kumalizika kwa vurugu.
Pia Klabu ya Coastal Union imepewa adhabu ya kucheza bila ya mashabiki kwa mechi mbili za nyumbani na mechi moja ya nyumbani kuchezwa uwanja wa ugenini kwa kosa la mashabiki wa timu hiyo kumshambulia Mwamuzi Thomas Mkombozi na kumsababishia majera ha maumivu makali.
kuhusu Mwamuzi Ahmed Seif, Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji ya bodi ya Ligi, imemfungulia na kumtoa kwenye orodha ya waamuzi wa Ligi kuu mwamuzi huyo aliechezesha mchezo namba 28 kati ya African Lyon na Mbao FC. hivyo, Mwamuzi Ahmed Seif atarudishwa kwenye kabati ya waamuzi ili apangiwe majukumu mengine.

NJE YA TANZANIA
MENDES AMSAFISHA MOURINHO KASHFA YA KUKWEPA KODI.
WAKALA wa meneja wa Manchester United, Jose Mourinho amesema mteja wake huyo alilipa zaidi ya kodi ya euro milioni 26 wakati alipoondoka nchini Hispania kuanzia 2010 hadi 2013.
Taarifa hizo ziliwekwa hadharani jana na Gestifute, kampuni ambayo inasimamiwa na wakala wa Mourinho, Jorge Mendes.
Kampuni hiyo ya Ureno ilitoa taarifa za kodi ya meja wake huyo baada ya vyombo vya habari vya Ulaya kuchapisha madai kuwa kumekuwa na mchezo wa kukwepa miongoni kwa baadhi ya wachezaji wkaubwa na makocha wakiwemo Mourinho, Cristiano Ronaldo na Mesut Ozil.
Gestifute ambao pia ndio wanaomsimamia Ronaldo tayari walishatoa taarifa zinazoonyesha kuwa mamlaka za kodi nchini Hispania walishawakagua wateja wao hao na kuona hawana matatizo yeyote kwenye ulipaji wa kodi.
MIDDLESBROUGH  YAIADABISHA CHELSEA.
KLABU ya Middlesbrough inadaiwa kutaka kiasi kikubwa cha paundi milioni 35 kwa ajili ya Ben Gibson ili kuitisha Chelsea. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 23 amekuwa katika kiwango bora msimu huu akisaidia vyema safu ya ulinzi ya klabu hiyo.
Meneja wa Chelsea Antonio Conte bado anataka kuimarisha safu yake ya ulinzi katika kipindi cha usajili wa dirisha dogo Januari lakini sasa inadaiwa kuna uwezekano wa kushindwa kumuwania Gibson kutokana na bei yake. Everton nao pia wanadaiwa kutaka kumuwania Gibson ambaye alisaini mkataba wa miaka mitano na Middlesbrough mapema mwaka huu.

LAMPARD KUKALIA BENCHI LA THREE LIONS.
KIUNGO wa zamani wa kimataifa wa Uingereza na klabu ya Chelsea, Frank Lampard anatarajiwa kupewa nafasi katika benchi la ufundi la timu ya taifa ya Uingereza.
Taarifa hizo za kocha mpya wa Uingereza Gareth Southgate kumtaka Lampard zimekuja saa chache baada ya taarifa rasmi kuwa Sammy Lee ameachia rasmi wadhifa wake wa kocha msaidizi.
Southgate anataka kuunda jopo lake mwenyewe na anaona Lampard kama mtu atakayemfaa katika benchi lake.
Lampard ambaye alistaafu soka la kimataifa muda mfupi baada ya michuano ya Kombe la Dunia mwaka 2014, ndio kwanza ameondoka New York City FC kufuatia kumaliza mkataba wake.

BARCELONA KILA USHINDI NI HISTORIA.
KLABU ya Barcelona jana imeweka historia mpya ya kuwa timu ya kwanza kucheza pasi nyingi katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya jana.
Wakiwa tayari wameshafuzu wakiwa vinara w akundi C, Barcelona walishinda mabao 4-0 dhidi ya Borussia Monchengladbach, mabao yaliyofungwa na Lionel Messi na Arda Turan aliyefunga hat-trick.
Katika mchezo huo Barcelona walicheza pasi 993 ikiwa ni nyingi zaidi kuliko timu yeyote toka rekodi hizo zilipoanza kutunzwa katika msimu wa 2003-2004.
Mapema msimu huu, kipa wa Barcelona Marc-Adre ter Stegen aliweka rekodi mpya katika La Liga baada ya kutoa pasi zilizokamilika 51 kati ya 62 alizopiga dhidi ya Athletic Bilbao.

UEFA CHAMPIONZ LIGI MATOKEO YOTE
Matokeo
Jumanne 6 Desemba 2016
KUNDI A
FC Basel 1 Arsenal 4
Paris Saint Germain 2 Ludogorets Razgrad 2              
KUNDI B
Benfica 1 Napoli 2            
Dynamo Kiev 6 Besiktas 0          
KUNDI C
Barcelona 4 Borussia Monchengladbach 0                 
Manchester City 1 Celtic 1
KUNDI D
Bayern Munich 1 Atlético Madrid 0                  
PSV Eindhoven 0 FC Rostov 0     

TIMU ZILIZOFUZU RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 16:
Atlético Madrid*
Barcelona*
Leicester City*
Monaco*
Arsenal*
Bayer Leverkusen
Bayern München
Borussia Dortmund
Juventus
Manchester City
Paris Saint-Germain
Real Madrid

TIMU 7 AMBAZO ZINAWEZA KUFUZU [NAFASI 4 ZIMEBAKI]:
Sevilla
Lyon
Porto
København
Benfica
Napoli*
Beşiktaş

TIMU AMBAZO ZIMETUPWA EUROPA LIGI:
Borussia Mönchengladbach
Ludogorets Razgrad
Besiktas
Rostov

Ratiba Mechi za 6 na za mwisho za Makundi
***Mechi zote kuanza Saa 4 Dakika 45 Usiku

Jumatano 7 Desemba 2016
KUNDI E
Bayer 04 Leverkusen v Monaco             
Tottenham Hotspur v CSKA Moscow                
KUNDI F
Legia Warsaw v Sporting Lisbon           
Real Madrid v Borussia Dortmund         
KUNDI G
Club Brugge v FC Copenhagen              
FC Porto v Leicester City
KUNDI H
Juventus v Dinamo Zagreb         
Lyon v Sevilla      
   
03/06/17: Fainali (National Stadium of Wales, Cardiff)

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MKUSANYIKO BONGO NA MBELE KIMICHEZO HII HAPA

No comments :