Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » ASANTE SAMATTA KWA KUWATOA KIMASOMASO WATANZANIA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Najua headlines kwa sasa ni stori za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga katika klabu ya TP Mazembe ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mbwana Aly Samatta kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wanaocheza Ligi ya ndani ya Afrika.

Baada ya tuzo kumalizika, Samatta alilala 

Lakini imenifikia list ya waliomuwezesha Samatta kutwaa tuzo hiyo na kuwashinda golikipa TP Mazembe Robert Mutebe Kidiaba wa Kongo na Baghdad Bounedjahmualgeria anayeichezea klabu ya Etoile du Sahel ya Tunisia. Kama ulikuwa hujui tuzo hiyo upigiwa kura na makocha wa timu za taifa, ila baada ya utolewaji wa tuzo kumalizika shirikisho la soka la Afrika CAF lilitoa list kamili ya makocha waliompigia kura Samatta.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / ASANTE SAMATTA KWA KUWATOA KIMASOMASO WATANZANIA

No comments :