Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » WAHAMIAJI WALIOFUKUZWA ALGERIA WAKARIBISHWA NIGER
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Baadhi ya wakimbizi wakiwa katika makaazi yao mapya.

Mamia ya wakimbizi wa Kiafrika waliofukuzwa nchini Algeria wameingia katika nchi jirani ya Niger.

Vyombo vya habari vimeripoti habari hiyo na kuwanukuu mashuhuda wakisema kuwa, wakimbizi hao kutoka nchi za Mali, Guinea na Senegal wameingia nchini Niger kwa kutumia malori matano ya Algeria yaliongozwa na vikosi vya usalama vya Niger. Wakimbizi hao wameingia katika mji wa Agadez wa katikati mwa Niger na kuhifadhiwa kwenye uwanja wa mpira wa mji huo.

Waziri Mkuu wa Niger Brigi Rafini amethibitisha habari hiyo na kusema kuwa, opereseheni hiyo imefanyika kwa idhini ya viongozi wa nchi hiyo.
Habari zinasema kuwa wakimbizi hao ni wahanga wa operesheni kubwa ya viongozi wa Algeria ambao wameanzisha kampeni maalumu ya kuwarejesha makwao wakimbizi wote walioko nchini humo. Ikumbukwe kuwa mwaka 2014 pia, wakimbizi elfu tatu wa Niger walirejeshwa nchini kwao kutoka Algeria.
Vile vile mwezi Oktoba 2013, raia 92 wa Niger wakiwemo watoto wadogo 52 na wanawake 33 wakazi wa eneo la Zinder la kusini mwa Niger walipoteza maisha katika mpaka wa nchi hiyo na Algeria baada ya maafisa wa Algeria kuwapiga marufuku kuingia kwenye ardhi ya nchi hiyo.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / WAHAMIAJI WALIOFUKUZWA ALGERIA WAKARIBISHWA NIGER

No comments :