Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » RIO FERDINAND AREJEA MAN UNITED, APATA MAPOKEZI YA MAANA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Rio na Pogba

Akiwa kwenye ziara hiyo ambayo ameweka video yake katika You Tube, Rio alipata nafasi ya kuonana na mastaa kadhaa wa timu hiyo pamoja na wachezaji vijana chini ya umri wa miaka 15 ambao walikuwa wametoka kufungwa mabao 9-0 na wapinzani wao wakubwa, Man City.

Ferdinand ambaye ana umri wa miaka 38 alionana na mchezaji aliyesajiliwa kwa bei kubwa zaidi duniani, Paul Pogba pamoja na Ashley Young naJesse Lingard.

Katika video hiyo, Rio anaonekana akipata mapokezi mazuri kila anapoingia huku Pogba akionekana kufurahi na kuanza kudansi akimfurahia mkongwe huyo. 

Enzi zake alipokuwa Man United.

Rio na mwalimu wa yoga.

Akiwapa ushauri Man United U15.

Rio akiingia jikoni kuwasapraizi wapishi.

Rio akiwa na Young na lingaad.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / RIO FERDINAND AREJEA MAN UNITED, APATA MAPOKEZI YA MAANA

No comments :