Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » AMUUA MKEWE KWA VISU NA KUMNYONGAMTOTO, KISA BAADA YA KUAMBIWA ANA MCHEPUKO.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mkazi  wa Bukene wilayani Nzega mkoani Tabora, amemuua mkewe pamoja na mtoto wake.

Mkazi huyo Rashid Nassoro, baada ya kuwaua watu wake wa karibu alikimbia na baadae kujaribu kujiua kwa kujichoma kisu tumboni na kujaribu kukata sehemu zake za siri.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Khamis Selemani amethibitisha tukio hilo na kusema lilitokea juzi eneo la Bukene, wilayani hapa baada ya Rashid Nassoro (22) kumuua mkewe kwa kumchoma visu tumboni.

Alisema, baada ya kumuua mke wake, Rashid alimnyonga mtoto wake wa miezi minne na kukimbia.

Kamanda Selemani, alisema baada ya kukimbia Rashid aliamua kutaka kujiua kwa kujichoma kisu tumboni na kujaribu kukata sehemu zake za siri.

Alisema chanzo cha tukio hilo ni mwanamke kumtuhumu mume wake kuwa ana uhusiano na mwanamke mwingine jambo lililomchukiza mwanaume huyo.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / AMUUA MKEWE KWA VISU NA KUMNYONGAMTOTO, KISA BAADA YA KUAMBIWA ANA MCHEPUKO.

No comments :