Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » SIMBA YA MWENDOKASI YAANZA VYEMA MAPINDUZI CUP YAUA 2-1
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Michuano ya Mpinduzi Cup inazidi kushika kasi hapa visiwani Zanzibar baada ya kushuhudia Simba vs Taifa Jangombe zikikamilisha mchezo wa tatu wa Kundi A.
Simba imeitwanga Taifa Jang’ombe kwa mabao 2-1 katika mechezo wake wa kwanza wa michuano hiyo kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.
Simba walikuwa wa kwanza kupata bao kupiitia Muzamiru  Yassin katika dakika ya 28 ambaye aliuwahi mpira uliotemwa na kipa na kuukwamisha kambani.

Ikionekana kama timu hizo zitaenda mapumziko Simba ikiongoza kwa bao 1-0,Juma  Luizio alipachika bao la pili akiwa katikati ya msimu wa mabeki wa Taifa.
Kipindi cha pili kilionekana kina mashambulizi mengi ya kupokezana lakini beki msomi, Noverty Lufunga alifanya yake baada ya kujifunga akiunganisha langoni mwake mpira wa kona.
Michuano hiyo itaendelea tena Leo kwa michezo miwili mchezo wa mapema utakuwa kati ya Zimamoto na Azam Fc majira ya saa kumi jioni na Usiku saa 2:30 Mabingwa watetezi wa Vodacom Tanzania bara timu ya Yanga itashuka dimbani kucheza na Jamhuri ya visiwani Pemba

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / SIMBA YA MWENDOKASI YAANZA VYEMA MAPINDUZI CUP YAUA 2-1

No comments :