Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » OMOG AZUNGUMZIA KUHUSU UWANJA WA JAMHURI NA SUALA LA UBINGWA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Kocha Mkuu wa Simba, Joseph Omog amesema kikosi chake kina uwezo wa kutwaa ubingwa katika uwanja wowote.

Fainali ya Kombe la Shirikisho kati ya Mbao FC dhidi ya Simba itachezwa Mei 28, mwaka huu kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.

“Kwanza Mbao ni timu nzuri, tumecheza nao mara mbili kwenye ligi, tumeshinda mechi zote. Lakini lazima tukubali hii ni mechi ngumu sana.

“Lakini suala la uwanja, kwetu tutaendelea kujiandaa kwa lengo la kushinda au kufanya vizuri,” alisema.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / OMOG AZUNGUMZIA KUHUSU UWANJA WA JAMHURI NA SUALA LA UBINGWA

No comments :