Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » SAFARI ZA RWANDA AIR KUKUZA USHIRIKIANO KATI YA UINGEREZA NA RWANDA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Ushirikiano wa kibiashara na kibalozi kati ya Rwanda na Uingereza unatarajiwa kuimarika hata zaidi baada ya kuanzishwa kwa safari za moja kwa moja za ndege kutoka Kigali hadi London.

Akizungumza kwenye hafla ya kukaribisha kuanza kwa ziara hizo, balozi wa Rwanda nchini Uingereza Yamina Karitanyi amesema kufuatia kuanzishwa kwa safari hizo na shirika la RwandAir sasa utalii unatarajiwa kuimarika.

Karitanyi amesema Kigali na London zina matumaini makubwa pia kwenye ukuaji wa sekta za biashara, uwekezaji na ubadilishanaji wa
Naibu mkurungezi wa mawasiliano wa RwandAir Yvonne Makolo amesema shirika hilo bado liko kwenye mchakato wa kuomngeza maeneo inakohudumu na kuanza safari Brussels na New York.

Shirika hilo kwa sasa linahudumu katika maeneo 22.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / SAFARI ZA RWANDA AIR KUKUZA USHIRIKIANO KATI YA UINGEREZA NA RWANDA

No comments :