Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » KISA UKUNGU, MECHI YA KRIKET KATI YA INDIA NA SRI LANKA YASIMAMA MJINI DELH
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Ukungu na moshi katika mji mkuu wa India, Delhi, umesimamisha mechi ya Test ya kriketi, baina ya India na Sri Lanka, baada ya malalamiko ya timu ya Sri Lanka.

Mji huo mkuu wa India umekumbwa na tatizo la ukungu wa wiki kadhaa

Katika kile ambacho vyombo vya habari vya India vinasema, kitu hakikupata kutokea, baadhi ya wachezaji wa Sri Lanka walifunika nyuso uwanjani, na kulazimisha mechi kusimamishwa mara tatu, wakilalamika juu ya ukungu.

Wakati mmoja kikosi cha Sri Lanka kiliomba ushauri wa madaktari kabla ya kuendelea kucheza.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / KISA UKUNGU, MECHI YA KRIKET KATI YA INDIA NA SRI LANKA YASIMAMA MJINI DELH

No comments :