Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » WAWILI WAFA KATIKA AJALI YA BASI LA NGORIKA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Watu wawili wamefariki dunia akiwemo askari wa Jeshi la wananchi (JWTZ) na wengine 33 kujeruhiwa baada ya basi mali ya kampuni ya Ngorika kuigonga kwa mbele Toyota Costa eneo la Misugusugu mjini Kibaha .

Ajali hiyo imetokea majira ya saa 1.30 asubuhi leo wakati basi hilo likitokea Dar esalaam kwenda Arusha ambapo ilipofika eneo hilo dereva alihama upande wake wa njia kuyapita magari mengine yaliyokua mbele yake bila tahadhali hivyo kwenda kugongana uso kwa uso na costa iliyokua ikitokea Miono Bagamoyo kwenda Dar esalaam.

Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Jafari Mohamed amethibitisha tukio hilo na kutaja waliokufa ni Rutta Saimon mwalimu wa shule ya msingi Mwambao Bagamoyo na Peter Maro askari wa JWTZ na kwamba anasadikiwa kuwa ni wa Kikosi cha Jeshi la Nyumbu Kibaha na wote walikua abiria katika Costa hiyo.

Kamanda Jafari amesema kati ya majeruhi hao 33, wanne hali zao ni mbaya kutokana na kuvunjika sehemu mbalimbali za mwili.

"Majeruhi wote wa ajali hiyo walipelekwa Tumbi na walitibiwa na wengi wao wameruhusiwa kuendelea na safari yao lakini hao wanne ndiyo wamelazimika kulazwa hapo kwa matibabu zaidi kutokana na hali zao kuwa mbaya maana wamevunjika sehemu mbalimbali za mwili, na pia miili ya marehemu imehifadhiwa hospitalini humo kusubiri ndugu"amesema Kamanda Jafari.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhan Mungy akizungumza na waandishi wa habari mjini Migoli, Iringa Vijijini, kuhusu kukamatwa kwa mgombea ubunge Jimbo la Iringa Mjini, Peter Msigwa na wafuasi wake 60 kwa tuhuma za kuhusika kuwafanyia vurugu wafuasi wa CCM waliokuwa wakitoka kwenye mkutano wa kampeni za Mgombea urais wa Tanzania kuptia CCM, Dk John Magufuli mjini Iringa

Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / WAWILI WAFA KATIKA AJALI YA BASI LA NGORIKA

No comments :