Kamanda wa Polisi Mkoa
wa Iringa, Ramadhan Mungy akizungumza na waandishi wa habari mjini
Migoli, Iringa Vijijini, kuhusu kukamatwa kwa mgombea ubunge Jimbo la
Iringa Mjini, Peter Msigwa na wafuasi wake 60 kwa tuhuma za kuhusika
kuwafanyia vurugu wafuasi wa CCM waliokuwa wakitoka kwenye mkutano wa
kampeni za Mgombea urais wa Tanzania kuptia CCM, Dk John Magufuli mjini
Iringa. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu
Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu
No comments
Post a Comment