India imezuia uwezo wa kuingia katika takriban mitandao 857 ya picha za ngono katika kile inachosema ni harakati za kuwazuia watoto kuiona.
Hatahivyo watu wazima wataendelea kuingia katika mitandao hiyo kupitia mitandao ya kibinafsi VPNs.
Mnamo mwezi Julai ,mahakama kuu ilionyesha kutofurahishwa na hatua ya serikali kushindwa kuzuia mitandao hiyo hususan ile ilio na picha za ngono ya watoto.
Kampuni za mawasiliano zimesema kuwa haziwezi kutekeleza marufuku hiyo mara moja.
”Lazima tufunge kila mtandao mmoja baada ya mwengine na itachukua siku chache kwa wahudumu kuzuia mitandao yote,afisa mmoja wa kampuni hizo za mawasiliano ambaye hakutaka kutajwa aliliambia gazeti la the times kutoka India
Haijapigwa mar
No comments
Post a Comment