Stori: Gladness Mallya BAADA ya kuteseka kwa muda mrefu kwa ugonjwa wa ajabu kwenye miguu, hatimaye mtoto Hamis Hashim Liguya (13) ametua nchini India kwa ajili ya matibabu. Mtoto Hamis Hashim Liguya (13). Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar Jumamosi iliyopita, majira ya saa 6 mchana, ndugu, jamaa na wadau mbalimbali walifika kumsindikiza mtoto huyo aliyewasili India Jumapili iliyopita. Katika safari hiyo, Hamis aliongozana na baba yake mzazi, mzee Hashim Liguya na…
HABARI KIMATAIFA
HABARI KITAIFA
Performance
‹
›
Cute
My Place
MICHEZO
Racing
Videos
Tagged with: INDIA
About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Next
ZAIDI YA MITANDAO 857 YAPIGWA STOP NCHINI INDIA. ZAIDI YA MITANDAO 857 YAPIGWA STOP NCHINI INDIA.
Previous
WATU MILIONI 2 WAMEJITOKEZA KUOMBA KAZI NCHINI INDIA. WATU MILIONI 2 WAMEJITOKEZA KUOMBA KAZI NCHINI INDIA.
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MTOTO MWENYE GONJWA LA AJABU ATUA NCHINI INDIA
Posted by Unknown 9/25/2015 0
Stori: Gladness Mallya BAADA ya kuteseka kwa muda mrefu kwa ugonjwa wa ajabu kwenye miguu, hatimaye mtoto Hamis Hashim Liguya (13) ametua nchini India kwa ajili ya matibabu. Mtoto Hamis Hashim Liguya (13). Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar Jumamosi iliyopita, majira ya saa 6 mchana, ndugu, jamaa na wadau mbalimbali walifika kumsindikiza mtoto huyo aliyewasili India Jumapili iliyopita. Katika safari hiyo, Hamis aliongozana na baba yake mzazi, mzee Hashim Liguya na…

Tagged with: INDIA
About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments
Post a Comment