inawezekana tukatumia msemo huo maana ni lazima mmoja ashinde na mwingine ajipange kwa uchaguzi mwingine ujao 2020, maana tunahitaji mmoja tu kuwa rais na mmoja tu kuwa mbunge na mmoja tu kuwa diwani.
Wagombea wa urais hapa nchini wanafanya kampeni zao za mwisho hii leo, ikiwa ni siku moja kabla ya taifa hilo la Afrika Mashariki lenye idadi kubwa zaidi ya watu kuandaa uchaguzi mkuu, unaotarajiwa kuwa kinyang'anyiro kikali kabisa kuwahi kushuhudiwa katika historia ya nchi hii.
Rais anayeoondoka madarakani Jakaya Kikwete, ambaye anakamilisha muda wake wa uongozi wa miaka 10 anaoruhusiwa kikatiba wa mihula miwili, ameliamuru jeshi la polisi kuimarisha usalama ili kuhakikisha kuwa upigaji kura katika nchi hii yenye watu milioni 52 unakamilika kwa amani.
Wengi wanaamini kuwa mgombea wa chama tawala - CCM John Pombe Magufuli mwenye umri wa miaka 55 atakabiliwa na ushindani mkali kutoka kwa vyama vikuu vya upinzani ambavyo vinaunda muungano wa umoja wa katiba ya wananchi UKAWA, vikiongozwa na mgombea wao, waziri mkuu wa zamani Edward Ngoyayi Lowassa, mwenye umri wa miaka 62.

Wachambuzi wanaonya kuwa uchaguzi huu
huenda ukazusha mvutano, wakati upinzani ukitoa kwa mara ya kwanza
ushindani wa kweli kwa chama tawala CCM tangu kuanzishwa kwa mfumo wa
demokrasia ya vyama vingi vya kisiasa mnamo mwaka wa 1995.
No comments
Post a Comment