"AmrishPuri"
| " |
Alikuwa ni actor wa india ambaye
alikuwa ni muhimu sana katika sanaa ya nchi hiyo hasa upande wa filamu .
Alifanya kazi na wataalamu wa
uandishi wa filamu kwama vile Satyadev Dubey
na Girish Karnad.
Anakumbukwa sana katika mchango wake
kwenye mambo hayo ya filamu za kihindi pamoja na zile za kimataifa .
Ndani ya mashabiki wa nchini india
anakumbukwa zaidi katika filamu ya Mogambo pia filamu ya Mr. India
(1987), pia katika nchi za magharibi Mzee huyu alijulikana kama Mola
Ram akicheza ile filamu ya Hollywood ya
Steven Spielberg
pia Indiana
Jones and the Temple of Doom
(1984).
Amrish Puri alizaliwa eneo moja
linajulikana kama Lahore huko British India
katika familia ya watu wa jamii ya Punjabi-kwa wazazi Lala Nihal Singh Puri na Mst Ved Kaur.
aliwaacha watoto wawili wa kiume na wa kike, ambapo wakiume anaitwa Rajiv na wa kike ni
Namrata huku mkewe akijulikana kama Urmila Diveker aliyemuoa mwaka 1957 hadi 2005 alipoaga dunia.
Alikuwa na ndugu wane kaka zake
wakubwa ni Chaman Puri na Madan Puri
ambao wote walikuja kuwa waigizaji huku dada yake anajulikana kwa jina la Chandrakanta,
na mdogo wake wa kiume anaitwa Harish Puri.
Baadae alihamia Shimla na kupata
elimu yake ya chuo huko Himachal Pradesh kaskazini mwa india.
Katika masuala
ya uigizaji Amrish
Puri ameigiza zaidi ya filamu 400 kati ya mwaka 1967 na 2005,na pia alikuwa ni
mmoja kati ya waigizaji wakubwa na wa kihistoria huko bollywood.
Alianza kwenda yeye jijini Mumbai na baadae
akafuatiwa na kaka yake aitwaye Madan Puri
na Chaman Puri,wakati huo tayari Amrish puri alikuwa ameshatengeneza jina zuri
katika masuala ya uigizaji.
Alifeli katika kazi yake ya kwanza
ya uigizaji lna kuamua kufanya kazi nyingine akiajiliwa katika shirika la bima
la taifa huko huko india la State
Insurance Corporation (ESIC).
Wakati huo huo pia aliutumia katika
mazoezi ya uigizaji kwenye kampuni ya Prithvi Theatre akizifanyia kazi riwaya za Satyadev Dubey.
Alikuja kujulikana zaidi katika shindano
la vipaji lijulikanalo kama stage actor na alifanikiwa kushinda tuzo ya Sangeet Natak Akademi mwaka 1979.
Baadae Puri kufanya kazi katika
films za kihindi, kikannada, Marathi,
Hollywood, Punjabi, Malayalam, Telugu na Tamil .
Licha ya kuwa amrish puri alipata
mafanikio katika maeneo mbalimbali kwenye kazi yake ya uigizaji zaidi
anajulikana kwa kazi yake ndani ya cinema za bollywood.
Miaka ya 70, Puri alijikita zaidi
kuigiza kama kiongozi mkuu kwa upande wa waalifu.
Pia mwaka 1980 alitajwa kama msanii
aliyefanya vizuri katika movie ya Hum Paanch ambapo mkongwe huyo ambaye kwa sasa ni marehemu alikuwa
kama mkuu wa majambazi na baada ya hapo alianza kuigiza katika nafasi hiyo.
Mnamo mwaka 1982, Puri alicheza
nafasi ya jambazi mkuu katika filamu ya Vidhaata iliyoongozwa na Subhash
Ghai.
Mwaka huo huo alicheza filamu
nyingine kama jambazi JK katika filamu ya Shakti akiwa na
mastar kama - Dilip Kumar naAmitabh Bachchan.
Mwaka uliofuata yaani 1983, Subhash
Ghai kwa mara nyingine alitengeneza filamu iliyomhusisha puri kama jambazi huku
msanii Pasha akiwa ni starring katika filamu ya Hero.
Katika nafasi ya adui namba moja
katika nafasi za uigizaji filamu india, amrish puri anakumbukwa zaidi katika
filamu ya “MOGAMBO” katika Mr India, “Jagavar” katika filamu ya Vidhaata,
"Thakral" katika filamu ya Meri Jung,
"Bhujang" ndani ya filamu ya Tridev,
"Balwant Rai" kwenye filamu ya Ghayal, Barrister Chadda ndani ya Damini pamoja na
"Thakur Durjan Singh" kwenye Karan Arjun.
Tangu mwaka 1990 hadi anakutwa na umauti mwaka 2005, Puri pia
alishiriki katika uigizaji wa nafasi ya starring wa filamu pia alishirikishwa
katika filamu nyingine nyingi kama msanii mwema na sio jambazi.
Filamu hizo ni kama Dilwale Dulhaniya
Le Jayenge, Phool Aur Kaante,
Gardish, Pardes, Virasat, Ghaatak na China Gate.
Kifo chake
Puri alikumbwa na mauti mnamo
January 12 mwaka 2005 huko Mahasashtra Jijini Mumbai akiwa na miaka 72.
Alipokea
zawadi nyingi wakati wa uhai wake kutokana na mchhango wake wa sanaa za
bollywood na dunia kwa ujumla, na hizi ni aadhi kati ya alizopokea:>
- 1968: Maharashtra State Drama Competition
- 1979: Sangeet Natak Akademi Award for Theatre
- 1986: Filmfare Best Supporting Actor Award, Meri Jung
- 1991: Maharashtra State Gaurav Puraskar
- 1994: Sydney Film Festival, Best Actor Award – Suraj Ka Satvan Ghoda
- 1994: Singapore International Film Festival, Best Actor Award – Suraj Ka Satvan Ghoda
- 1997: Filmfare Best Supporting Actor Award – Ghatak
- 1997: Star Screen Award for Best Supporting Actor – Ghatak
- 1998: Filmfare Best Supporting Actor Award- Virasat
- 1998: Star Screen Award for Best Supporting Actor – Virasat
Pia
alitajwa katika kuwania tuzo zipatazo saba ambapo hata hivyo hakufanikiwa
kutwaa tuzo hizo…. Ambapo tuzo hizo ni pamoja na:>>>>
- 1990: Filmfare Best Supporting Actor Award – filamu ya Tridev
- 1993: Filmfare Best Supporting Actor Award – filamu ya Muskurahat
- 1994: Filmfare Best Supporting Actor Award – filamu ya Gardish
- 1996: Filmfare Best Villain Award – filamu ya Karan Arjun
- 1996: Filmfare Best Supporting Actor Award – filamu ya Dilwale Dulhania Le Jayenge
- 1999: Filmfare Best Villain Award – filamu ya Koyla
- 2000: Filmfare Best Villain Award – filamu ya Baadshah
- 2002: Filmfare Best Villain Award – filamu ya Gadar: Ek Prem Katha
Kama nilivyokujuza kuwa Amrish Puri amecheza
filamu zaidi ya 400 tangu mwaka 1967 – 2005, hizi hapa ndizo alizocheza .
Year
|
Film
|
Role
|
1970
|
Henchman in church
|
|
1971
|
||
Rehmat Khan
|
||
Public Prosecutor
|
||
1973
|
Chandra Gowda
|
|
1975
|
Master
|
|
Eldest Zamindar
|
||
1976
|
Mishraji
|
|
1977
|
voice(uncredited)...Michael
|
|
Jabbar
|
||
Dharam Dhayal
|
||
Vinayak Kale
|
||
1978
|
Konduraswamy
|
|
1979
|
Chandrika's dad
|
|
Man in Ghost train reading horror
story
|
||
General Manager
|
||
1980
|
Patthar Se Takkar
|
|
Maan Abhiman
|
Madhuraprasad Chowdhary
|
|
Kishan Chand
|
||
Joginder Singh
|
||
Dusane, Public Prosecutor
|
||
Rakka
|
||
Tantric magician
|
||
Balwant Singh
|
||
Veer Pratap Singh
|
||
1981
|
Madhavan
|
|
Don
|
||
1982
|
Chief Instructor Varghese
|
|
Jagavar Chowdhary
|
||
Gopal
|
||
Ranvir
|
||
Agnihotri (a.k.a. Johinder Singh)
|
||
Mr.Joshi
|
||
Khan
|
||
Main Inteqaam Loonga
|
Goverdhan Das (GD)
|
|
1983
|
Darvish
|
|
Pasha
|
||
Anant's Father
|
||
Mr.Ram Gupta
|
||
John D'Costa
|
||
1984
|
Swami Kashinath Singh
|
|
Professor Jai
|
||
Dhulia
|
||
Doctor
|
||
Lakhan
|
||
Balwant Singh Kalra
|
||
Moolchand
|
||
S.K.Vardhan
|
||
Mola Ram
|
||
Special Appearance
|
||
Kolga
|
||
Udaybhan
|
||
1985
|
||
Thakur Vijay Singh
|
||
Phaansi Ke Baad
|
Damodar Seth
|
|
Patthar Dil
|
Rana Surajbhan Singh
|
|
Jugal
|
||
Sher Khan
|
||
Choudhary
|
||
Karmayudh
|
Sohanlal Puri
|
|
Aaj Ke Sholay
|
Balbir Gupta
|
|
Chakradev
|
||
G.D. Thakral
|
||
1986
|
Ricky
|
|
Pyar Ho Gaya
|
||
Baba Bhaironath
|
||
Persha
|
||
Razoulli Al-Jabber Al-Nasser
|
||
Rana Vikram Singh
|
||
Raiszada Narsingh
|
||
Durjan Singh
|
||
1987
|
Tamas (mini TV series)
|
|
Sher Shivaji
|
||
Jawab Hum Denge
|
Dhanraj
|
|
Captain S.P.Singh
|
||
A.M.Singh
|
||
Bhanupratap
|
||
Sher 'Shera' Singh
|
||
Pyar Karke Dekho
|
||
Madadgar
|
||
Mogambo
|
||
Seth Dharam Das
|
||
Dharamdas, MP
|
||
Pharam Dharam
|
Shamshera
|
|
1988
|
Dacoit Porkhiya
|
|
Diwan
|
||
Shahbaaz Khan
|
||
Ajit Singh
|
||
Hamara Khandaan
|
Chandraprakash Singh (Vishal's
dad)
|
|
Ganga Jamuna Saraswathi
|
Thakur Hansaj Singh
|
|
Anantananda Swamy (Telugu Movie)
|
||
Hun Farishte Nahin
|
Pashrutam Das/Din Dayal
|
|
J.K.Verma
|
||
Waris
|
Dulla
|
|
Marcelloni
|
||
Inspector Ratan Singh
|
||
1989
|
||
Gangadhar Chowdhary
|
||
Bhisambar Nath
|
||
General Dong
|
||
Ranvir Pushp
|
||
Nigahen : Nagina Part II
|
Bhairon Nath – voice
(uncredited)
|
|
Chandidas Khurana
|
||
Khan
|
||
K.K
|
||
Jai Kishan (JK)
|
||
Nagar
|
||
Gopal Das
|
||
Bhujang/Bhairav Singh
|
||
Naa-Insaafi
|
||
Hanumant Singh
|
||
Mahaprabhu Janak Sagar Jagat
Narayan Chintamani
|
||
Zakha
|
||
1990
|
Jarahwar
|
|
Vikral Singh
|
||
Lala Gendamal
|
||
Thakur Sher Bahadur Singh
|
||
Balwant Rai
|
||
Khaadra /SP (Telugu Movie)
|
||
Mahadrashta(Telugu Movie)
|
||
Mangal Singh/Santhal
|
||
Thakur Bhupendra Singh
|
||
Raghuvir Singh-Hindi
|
||
Upkar Dudhache
|
Raghuvir Singh-Marathi
Film
|
|
1991
|
Shikari : The Hunter
|
Nahar Singh
|
Singhania
|
||
Rana
|
||
Mahadrashta
|
||
Dhurjan Singh
|
||
Iraada
|
||
Jaikal
|
||
Vazir-e-Ala (a.k.a. Vazir)
|
||
Chuniya
|
||
Antique Collector (Telugu Movie)
|
||
Jagira
|
||
Nageshwar "Don"
|
||
Kalivardhan
|
||
1992
|
Vansha
|
|
Time Machine (Incomplete film)
|
||
Azghar Jurhad
|
||
Bhalla
|
||
Dhirend (Ravi's uncle)
|
||
Gopichand Verma (Former Justice)
|
||
1993
|
Mehesar Dalal
|
|
Raja's father
|
||
Kundan
|
||
Gnaneswara Rao (Telugu Movie)
|
||
Tau (Mafia Don)
|
||
Barrister Indrajit Chaddha
(Scheming Lawyer)
|
||
Purushottam Sathe
|
||
1994
|
Tejaswini
|
Lala Khurana
|
Pramaatma
|
||
Maha Shaktishali
|
||
Ramakant Chaudhry
|
||
Hukam Singh
|
||
I.G.P Pathak
|
||
1995
|
Don Quixote
|
|
Thakur Ugranarayan Singh
|
||
Thakur Durjan Singh
|
||
Thakur Jaswant Singh
|
||
Shobraj
|
||
Thakur Ranvir Singh 'Daata Guru'
|
||
Vanraja
|
||
Police Inspector
|
||
Chaudhry Baldev Singh
|
||
ACP. Shivcharan
|
||
Ratan Seth
|
||
1996
|
Hemraj
|
|
Mirza Khan
|
||
Surya Dev Singh
|
||
Dara
|
||
Wing Commander Varghese
|
||
Thakur Gajendra Singh
|
||
Gajraj Choudhary (Underworld Don)
|
||
ACP Amritlal Bakshi
|
||
Shambu Nath
|
||
1997
|
Raja Thakur (Best Supporting
Actor- Filmfare award)
|
|
Kishorilal
|
||
Nimayak
|
||
Malhotra, Seema's father (special
appearance)
|
||
Dhaal: The Battle of Law Against
Law
|
Pilot Baba
|
|
Raja Saab
|
||
Seth. Kedar Nath
|
||
Appa Rao
|
||
1998
|
Sham Ghansham
|
Collector Bhim Singh
|
Jaspal Rana
|
||
Jojo Pinto
|
||
Voice on the phone with Tiger
|
||
Col. Kewal Krishan Puri
|
||
Durgaprasad Bhardwaj
|
||
Mr.Singhal
|
||
Abhayankar (Police officer)
|
||
1999
|
Kaalkeshwar Singh
|
|
Thakur Dhayal Singh
|
||
Dayashankar
|
||
Balraj Dutt
|
||
Jagmohan Mehta
|
||
Suraj Singh Thappar
|
||
C.K Oberoi
|
||
Nahar Singh (Ishaan's father)
|
||
2000
|
The Sufi Saint
|
|
ACP Ranjeet Singh
|
||
Yagvender Gareval
|
||
2001
|
General Khanna (special
appearance)
|
|
On Wings of Fire
|
Nihavand ruler
|
|
Suleiman Seth
|
||
Pandit Shiv Prasad (Censor board
member)
|
||
Kailashnath Malhotra
|
||
Balram Singh (Tau of Karan)
|
||
Mayor Ashraf Ali (Sakina's father)
|
||
Jagdish Kumar Malhotra (Ronit's
uncle)
|
||
Chief Minister Balraj Chauhan
|
||
2002
|
Mr. Chaddha
|
|
Prajapati
|
||
Tantrik
|
||
Sadhu (sage)
|
||
Yashpal Chaudhary
|
||
2003
|
Thakur
|
|
Vir Bhadra Singh
|
||
I.S.I Chief Ishak Khan
|
||
Major Amrish Kaul
|
||
Jatta Singh Bedi (Jaswinder's
father)
|
||
Brigadier Sarfaroz Khan
|
||
2004
|
Ustad Samad Khan
|
|
Mr. Pandey
|
||
Chief Minister Bhandarker
|
||
Brigadier Gautam Puri (Sp. App.)
|
||
commissioner of police Samar Singh
|
||
Colonel Dugraj Singh
|
||
Kartar Singh/Baa Ji
|
||
Mr.Ranjit Roy
|
||
Angar Chand
|
||
2005
|
Narrator
|
|
Bhairo Singh
|
||
2006
|
Hasan Kairanvi
|
No comments
Post a Comment