| Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa Juma Khatib Chum ndiye aliyekabidhi mwenge huo kwa Rais Kikwete |
| Mwenge wa uhuru |
| Mchana Rais Kikwete akapokea na kuhitimisha Mbio za Mwenge kitaifa katika uwanja wa jamhuri. |
| Asubuhi .Ibada ya kumuenzi hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julias Kambarage Nyerere imeongozwa na Makamu Askofu wa Jimbo katoliki la Dodoma Padri Chesco Msaga ibada ikifanyika Nyerere Square. |
| Vijana wa halaiki wakiwa katika uwanja wa jamhuri mkoani dodoma |
| Vijana wa halaiki wakiwa katika uwanja wa jamhuri mkoani dodoma |
| waliousindikiza mwenge wakijiandaa kuukabidhi kwa Dk Jakaya Kikwete |
| Ulinzi mkali |
| waliohudhuria jamhuri |
No comments
Post a Comment