Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » KWA MARA YA KWANZA TUNASHUHUDIA DK MAGUFULI AKISAFIRI NJE YA NCHI, HATUMII NDEGE BALI NI GARI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli, April 5 2016 jina lake limerudi kwenye headlines kwa mara nyingine tena baada ya kukubali mwaliko wa Rais Paul Kagamewa Rwanda, hivyo atafanya ziara ya siku mbili Jumatano na Alhamisi.
Stori kutoka wizara ya mambo ya nje zinaeleza kuwa Rais Magufuli pamoja na RaisKagame watafungua daraja la kimataifa la Rusumo linaounganisha mpaka wa Tanzaniana Rwanda na kuzindua ushirikiano wa huduma za kituo cha pamoja.Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari na kusomwa katika television za Tanzania RaisMagufuli atasafiri kwa gari.
Rais Magufuli pia atakwenda kuweka shada katika makaburi ya mauaji ya Kimbali ya mwaka 1994 na baadae kufanya mazungumzo ya pamoja na Rais Kagame mjini Kigali. Hii ndio itakuwa safari ya kwanza ya Rais Magufuli kusafiri nje ya nchi toka aingie madarakani October 2015.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / KWA MARA YA KWANZA TUNASHUHUDIA DK MAGUFULI AKISAFIRI NJE YA NCHI, HATUMII NDEGE BALI NI GARI

No comments :