Yale yake unaweza kusema
hivyo baada ya mchezaji wa timu ya taifa ya mchezo wa raga ya Afrika Kusini
kumng’ata mwenzake.
Kupitia picha iliyopigwa na Kevin Quigley, inaonyesha mchezaji wa Afrika Kusini ‘Springboks’, Frans Malherbe akididimiza meno yake kwneye bega la Matt Trouville wa timu ya taifa ya Marekani wakati wakiwania mpira.

Usisahau, siku chache zilizopita kumekuwa na gumzo la beki wa Mbeya City, Juma
Nyosso kumtomasa makalio nahodha wa Azam FC, John Bocco. Tayari Nyosso
amekumbana na adhabu ya kufungiwa miaka miwili na faini ya Sh milioni 2.
Hata hivyo, kitu kizuri
zaidi, Trouville ambaye aling’atwa amewaeleza waamuzi kwamba hakumbuki kuhusiana
na tukio hilo kwa kuwa alikuwa amevaa kifaa maalum cha kulinda mabega ambacho
huvaliwa an wachezaji wa mchezo huo.
No comments
Post a Comment