Kumekuwa na nchi nyingi zikijitahidi
kupambana na ishu ya dawa za kulevya Duniani, nchi nyingine imefikia
mpaka hatua ya kuweka sheria kali ili kudhibiti kabisa kuingizwa na
matumizi ya dawa hizo.
Kwenye list ya nchi ambazo zinatajwa
watu wake wengi kukamatwa kwa dawa za kulevya, Nigeria nayo imo !! stori
za Wanigeria wengi kutajwa na kukamatwa na dawa za kulevya zimesikika
na kugusa pia vichwa vya habari.
Kilichonifikia kutoka Malaysia ni ishu ya Mnigeria mmoja, Ekene Collins Isaac
ambaye amehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya
kusafirisha dawa za kulevya miaka mitatu iliyopita nchini humo.
Millardayo
No comments
Post a Comment