Mwanamichezo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ghasem Rezaei ametangazwa
kuwa mwanamieleka wa pili bora duniani, katika kitengo cha wanamieleka
wenye kilo zisizopungua 98, kwenye mtindo wa Greco-Roman.
Kwa mujibu wa
orodha mpya ya Shirikisho la Mieleka Duniani UWW, mwanamiekeka huyo wa
Iran mwenye umri wa miaka 35 ndiye wa pili bora duniani, nyuma ya raia
wa Armenia, Artur Aleksanyan.
Rezaei ambaye alinyakua medali ya dhahabu
katika mashindano ya olimpiki ya London mwaka 2012, mwezi Septemba mwaka
huu alijishindia medali ya fedha katika duru ya 12 ya mashindano ya
mabingwa wa mieleka yaliyofanyika jimboni Las Vegas nchini Marekani.
Mwanaspoti huyo wa Iran aliibuka wa pili baada ya kumlemea Elis Guri wa
Bulgaria katika mpambano wa nusu fainali.
HABARI KIMATAIFA
HABARI KITAIFA
Performance
‹
›
Cute
My Place
MICHEZO
Racing
Videos
Home
»
MICHEZO
» MWANAMIELEKA WA PILI KWA UBORA DUNIANI HUYU HAPA KUTOKA IRAN NYUMA YA ARTUR ALEKSANYAN
Tagged with: MICHEZO
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Home
/
MICHEZO
/
MWANAMIELEKA WA PILI KWA UBORA DUNIANI HUYU HAPA KUTOKA IRAN NYUMA YA ARTUR ALEKSANYAN

Posted by Unknown 12/18/2015 0
Mwanamichezo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ghasem Rezaei ametangazwa
kuwa mwanamieleka wa pili bora duniani, katika kitengo cha wanamieleka
wenye kilo zisizopungua 98, kwenye mtindo wa Greco-Roman.
Kwa mujibu wa orodha mpya ya Shirikisho la Mieleka Duniani UWW, mwanamiekeka huyo wa Iran mwenye umri wa miaka 35 ndiye wa pili bora duniani, nyuma ya raia wa Armenia, Artur Aleksanyan.
Rezaei ambaye alinyakua medali ya dhahabu katika mashindano ya olimpiki ya London mwaka 2012, mwezi Septemba mwaka huu alijishindia medali ya fedha katika duru ya 12 ya mashindano ya mabingwa wa mieleka yaliyofanyika jimboni Las Vegas nchini Marekani.
Mwanaspoti huyo wa Iran aliibuka wa pili baada ya kumlemea Elis Guri wa Bulgaria katika mpambano wa nusu fainali.
Kwa mujibu wa orodha mpya ya Shirikisho la Mieleka Duniani UWW, mwanamiekeka huyo wa Iran mwenye umri wa miaka 35 ndiye wa pili bora duniani, nyuma ya raia wa Armenia, Artur Aleksanyan.
Rezaei ambaye alinyakua medali ya dhahabu katika mashindano ya olimpiki ya London mwaka 2012, mwezi Septemba mwaka huu alijishindia medali ya fedha katika duru ya 12 ya mashindano ya mabingwa wa mieleka yaliyofanyika jimboni Las Vegas nchini Marekani.
Mwanaspoti huyo wa Iran aliibuka wa pili baada ya kumlemea Elis Guri wa Bulgaria katika mpambano wa nusu fainali.
Tagged with: MICHEZO
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments
Post a Comment