Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » PICHA TOFAUTI KATIKA UTOAJI WA TUZO ZA LA LIGA 2014/2015 ZILIZOTOLEWA JANA SPAIN TAZAMA KATIKA PICHA HAPA
«
Next
HIZI HAPA KIMATAIFA KWA JIONI HII NYINGINE TEGEMEA BAADAE USIKU HIZI HAPA KIMATAIFA KWA JIONI HII NYINGINE TEGEMEA BAADAE USIKU
»
Previous
UNDER THE STARS NI MPYA YA JOHN LEGEND KWA AJILI YA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA NIMEKUWEKEA HAPA. UNDER THE STARS NI MPYA YA JOHN LEGEND KWA AJILI YA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA NIMEKUWEKEA HAPA.

James Rodriguez wa Real Madrid alitangazwa kuwa kiungo bora wa msimu
 November 30 2015 ilikuwa ni siku ambayo FIFA walitangaza majina ya wachezaji soka watatu waliofanikiwa kuingia katika fainali ya kuwania tuzo ya Ballon d’Or 2015, pamoja na kutaja magoli matatu bora yanayowania tuzo ya goli bora la mwaka na majina matatu ya wanaowania tuzo ya kocha bora wa mwaka.

Kama ulikuwa hujui mtu wangu wa nguvu usiku wa November 30 kuamkia December 1 ilikuwa ni siku ya utoaji wa tuzo za Ligi Kuu Hispania LALIGA kwa wachezaji na makocha waliofanya vizuri katika msimu wa mwaka 2014/2015, tuzo ambazo zilitolewa katika jiji la Barcelona, baadhi ya majina ya wachezaji waliofanikiwa kutwaa tuzo hizo ni Lionel Messi, Neymar, Sergio RamosJames Rodriguez na kocha bora akitajwa kuwa Luis Enrique wa FC Barcelona.

Claudio Bravo wa FC Barcelona alitangazwa kuwa golikipa bora wa msimu

Baadhi ya watu waliohudhuria tuzo hizo

Diego Simeone kocha wa Atletico Madrid ni miongo mwa watu waliohudhuria wa pili kutoka kushoto.

Baadhi ya washindi katika picha ya pamoja

List ya washindi wa tuzo za LA LIGA 2014/2015

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

/ / PICHA TOFAUTI KATIKA UTOAJI WA TUZO ZA LA LIGA 2014/2015 ZILIZOTOLEWA JANA SPAIN TAZAMA KATIKA PICHA HAPA

No comments :