
SAMATTA RASMI ATAMBULISHWA UBELGIJI,SAFARI YA KUITANGAZA TANZANIA KISOKA NDIO HIYO SASA
baada ya mvutano wa muda mrefu kati ya mmilikiki wa TP Mazembe na Nahodha wa Taifa stars Mbwana Ally Samatta hatimaye mshambuliaji huyo gumzo afrika ametambulishwa rasmi katika klabu yake ya Fc Genk y anchini Ubelgiji..



No comments
Post a Comment