Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » JULIAN NAGELSMANN, KOCHA MDOGO ZAIDI KATIKA HISTORIA YA BUNDESLIGA........{ HISTORIA FUPI KUMHUSU}
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Julian Nagelsmann amezaliwa mnamo july 23 mwaka 1987) ni mchezaji wa zamani wa ujeruman na pia kwa sasa ni kocha wa mpira wa miguu nchini humo hivi karibuni akichaguliwa kuwa kocha wa 1899 Hoffenheim.

Nagelsmann alicheza mpira katika level ya klabu za vijana  katika klabu ya 1860 Munich pamoja na Augsburg, kabla ya kupata majeraha ya goti yaliyomstaafisha soka mapemaaa akiwa katika kikosi cha under 19 tu huko klabuni  Augsburg.

Baada aliamua kwenda chuo kusomea masomo ya uongozi wa biashara {Business Administration} na masomo hayo alisoma kwa semester nne pekee kasha kuhamia katika kitengo cha Sports Science.

Baada y ahapo alisogea hadi katika masuala ya kufundisha soka{ coaching} ambapo alirejea katika klabu yake ya  Augsburg, ambapo alianza kufanya kazi chini ya kocha wake Thomas Tuchel

Lakini alianza kazi ya ku coach kama msaidizi akiwa na klabu ya 1899 Hoffenheim katika msimu wa 2012–13 na hadi kufikia February 11 mwaka huu wa 2016, alikuwa akiifundisha timu ya vijana wa chini ya miaka 19.

Wakati wa muda wake akiwa kama kocha msaidizi,Tim Wiese golikipa wa timu ya 1899 Hoffenheim aliyestaafu mwaka 17/September 2014 alimpachika jina la utani akamwita "Mini-Mourinho."{mourinho mdogo}. 

Pia alikifundisha kikosi cha timu ya U-16 hadi U – 19 timu zinazopatikana huko ujerumani ya kusini magharibi na pia alikifundisha kikosi cha watoto cha Hoffenheim hadi kutwaa ubingwa mwaka 2014 .

Nagelsmann mnamo tarehe 27. October mwaka 2015 alichaguliwa kuwa kocha mkuu wa timu ya 1899 Hoffenheim.

Baada ya kuteuliwa huko ameanza kazi msimu huu wa 2016–17 season. Na amepewa mkataba wa miaka mitatu kukiongoza kikosi hicho na kuweka historia ya kocha mdogo kuliko wote waliowahi kufundisha timu iliyoko Bundesliga.

Huyu kavunja rekodi za Huub Stevens, aliyeiweka mwaka 1993 alipoanza kufundisha soka akiwa na umri wa miaka 40  pamoja na ile ya Markus Gisdol aliyeanza kufundisha katika timu ya TSG msimu wa 1997 hadi 99 akiwa na umri wa miaka 30.

Mnamo February 10 mwaka 2016, Stevens alijiuzuru kama kocha kutokana na matatizo ya kiafya na hapo ndipo Nagelsmann akachukua nafasi hiyo ya kocha mkuu wa klabu hiyo nafasi aliyopewa siku moja baada ya aliyekuwa kocha mkuu kujiuzuri na nafasi hiyo alichaguliwa na bodi ya utendaji ya klabu hiyo.

Takwimu kumhusu

Ngazi ya klabu za vijana

1987–1989
DJK Dürscheid
1989–1999

mwaka

timu

Mechi alizocheza

(magoli)
1999–2001
23
(0)
2001–2003
15
(0)
2002–2005
65
(0)
2005–2012
194
(0)
2012–2014
10
(0)
jumla

307
(0)
Michezo timu ya taifa
2003–2005
13
(0)
2008–2012
6
(0)

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / JULIAN NAGELSMANN, KOCHA MDOGO ZAIDI KATIKA HISTORIA YA BUNDESLIGA........{ HISTORIA FUPI KUMHUSU}

No comments :