Inawezekana unasumbuliwa na magonjwa ya aina tofauti na umeshindwa kupata tiba sahihi sasa ni muda wako wa kujifunza na kujua njia sahihi ya kujilinda pia kupata matibabu kutoka Golden Gate Sanitarium Clinic . kumpata utatumia namba zilizoko chini kabisa ya somo hili ..
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&
ANGINA PECTORIS
Haya ni maumivu ambayo huyapata kifuani na kukunyima amani kutokana na misuli ya moyo kukosa kiasi cha damu yenye oxygen. Kwa kawaida huu sio ugonjwa bali ni dalili ya magonjwa ya coronary heart diseases.
DALILI ZA MTU MWENYE ANGINA PECTORIS
Dalili ya kwanza ya mtu mwenye tatizo la moyo{coronary heart diseas} ni angina pectori. Maumivu ya kifua kuanzia katikati kuelekea mkono wa kushoto, maumivu ya shingo na hatimaye kwenye taya bila kusahau mgongo, dalili nyingine ni kichefuchefu, kutapika, kiherehere cha moyo na kuvuja jasho kwa wingi baada ya mwendo kasi wa moyo.
AINA ZA ANGINA PECTORIS
Stable angina pectoris: aina hii ndio ujitokeza mara nyingi zaidi ya zingine.
Hali huwa mbaya tu unapokuwa unafanya kazi au mazoezi au kitu chochote kinachoweza sababisha moyo kufanya kazi kwa nguvu.
Hali hutulia au kurudi katika hali ya kawaida unapopumzika.
Aina maana kwamba kuna shambulio la moyo bali ni taarifa kuwa wakati wowote hali inaweza kuwa mbaya.
Unstable angina: hali hii aina mpangilio na hujitokeza wakati wowote.
Haiwezi kutulizwa na kupumzika kama ilivyokuwa kwa stable angina, Na hata dawa haiwezi kutuliza hali hii.
Aina hii ni hatari sana kwani hali hii inapojitokeza huduma ya haraka inahitajika. kwani huwa ni ashirio la shambulio la moyo ambalo linaweza kutokea wakati wowote.
Variant{prinzmetal’s}angina: Aina hii hutokea mara chache sana na haswa asubuhi, ukiwa umepumzika na usiku wa manane. Tatizo hili haliwezi kutatuliwa na pumzika au kutumia dawa.
Microvascular angina: aina hii ni hatari sana maumivu makali sana na ya muda mrefu. Kwa hali hii huwa ni vigumu sana kutulizwa na dawa.
Kumbuka kuwa sio kila maumivu unayoyasikia kifuani ni angina bali unaweza kuwa na matatizo mengine kama vile
Pulmonary ambolism{kuzba kwa artery za mapafu}
Maambukizi kwenye mapafu.
Aortic dissection{kuchanika kwa mishipa mikubwa}
Hypertrophic cardiomyopathy{kuathirika kwa misuli ya moyo}
Pericarditis{kuvimba nyama iuzungukayo moyo kwa ndani}
Panic attack
Angina ni ishara tosha kuwa damu inaenda kiasi kidogo sana. Na mtiririko wake kwenye misuli ya moyo haukidhi mahitaji. Shambulio la angna uongezewa na mazoezi au hali inaosababisha moyo kufanya kazi zaidi na hata misongo pia uchangia.
Chd inawezapelekea shambulio la moyo. Kutokana na damu kuzuiwa eidha kwa mishipa kupungua kipenyo au kuganda kwa damu.
Shambulio la damu ambalo husababishwa na kufa kwa misuli ya moyo myocardium muscles kutokana na hawe ya oxygen na viinilishe kufika kiasi kidogo sana.
Ifahamike kuwa moja ya tatu ya watu wenye shambulio la moyo ufariki dunia kutokana na kupuuzia dalili za awali.
CHANZO
Chanzo kikuu cha matatizo haya ni mrundikano mkubwa wa mafuta ya cholesterol kwenye damu na mishipa ya moyo.
Hali hii utokana na matumizi makubwa ya vyakula vyenye mafuta{saturated fat}nyama, maziwa na mayai ni chanzo kikuu bila kusahau dawa za mpango wa uzazi.
Hali ya kurithi pia imekuwa chanzo, uvutaji wa sigara, shinikizo la damu, uzito mkubwa na watu wasiofanya mazoezi au kazi za kukaa kwa muda mrefu.
Mwanzoni ilifahamika kuwa ugonjwa huu ulikuwa unawashambulia wanaume zaidi lakin tafti za hivi karbuni idadi iko sawa japokuwa wanawake uchelewa kuupata mpaka hormone ya estrogen itakapopungua kuzalishwa.
Imeandaliwa na Golden gate sanitarium clini
Chini ya Dr. Ritchard kavishe
Hotline 715-030961 /0756-098022
Email goldgatesanitarium@gmail.com
No comments
Post a Comment