Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » WAKATI ARSENAL WAKITAKATA NYUMBANI, CHELSEA WAZIDI KUTOKOTA NA JIJI LA MANCHESTER LITAKUWA NA MSONGAMANO LEO WA WATU MITAANI KUTOKANA NA MANCHESTER DABY.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

 Ligi Kuu Uingereza imeendelea kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja tofauti tofauti, 

miongoni mwa michezo iliyokuwa inameka hisia za mashabiki wengi wa soka ni mechi kati ya Arsenal dhidi ya Everton, mchezo ambao umepigwa katika dimba la Emirates.

Timu ya Arsenal imefanikiwa kushinda kwa jumla ya goli 2-1, magoli ambayo yalifungwa na Olivier Giroud kwa kichwa dakika ya 36 kabla ya dakika mbili mbele beki wa klabu hiyo Laurent Koscielny kupachika goli la pili, kwa upande wa Everton walipata goli la kufutia machozi kupitia kwa Ross Barkley dakika ya 44 ya mchezo.
 
About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / WAKATI ARSENAL WAKITAKATA NYUMBANI, CHELSEA WAZIDI KUTOKOTA NA JIJI LA MANCHESTER LITAKUWA NA MSONGAMANO LEO WA WATU MITAANI KUTOKANA NA MANCHESTER DABY.

No comments :