UKITAKA ELIMU BORA YA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI,NDANI YAKE UTAPATA MAFUNZO YA MARKETING,PUBLIC RELATIONS, COMPUTER, COMMUNICATIONS SKILLS N.K NA AJIRA YA UHAKIKA LAKINI PIA UKIWA UMEISHIA KIDATO CHA NNE NA NDOTO YAKO NI KWENDA CHUO KIKUU CHOCHOTE NCHINI BASI HUJACHELEWA............MAANA..
Sasa unaweza kusoma mpaka chuo kikuu bila kusoma kidato cha tano na sita na hata kama matokeo ya kidato cha nne siyo ya kuridhisha.
Hii inawezekana kupitia Chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha yaani Arusha Journalism Training College (A.J.T.C)
Ukisoma A.J.T.C mpaka ngazi ya diploma, wao watakuunganisha moja kwa moja na chuo kikuu hapa nchini kupitia NACTE.
Unangoja nini? mpango huu wengi wanautaka;ni rahisi sana kama umemaliza kidato cha nne na kuendelea na una walau "D" 2 au matokeo zaidi ya hapo unazo sifa za kwenda mpka chuo kikuu.
Fanya hivi.....Chukua form chuoni Arusha Journalism Training college wapo fidfosi kwa mrombo mbauda jijini arusha.
Au fika radio safina Arusha kuchukua form.
Au piga namba zifuatazo kupata huduma ya haraka kabla hujachelewa.
0784 76 96 15
0713 05 61 80
Au tembelea tovuti ya Chuo
www.ajtc.ac.tz .
Arusha Journalism Training College wana uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika fani.
Ni chuo namba MBILI kwa UBORA Tanzania.
KUMBUKA A.J.T.C NI CHUO KINACHOKUPA NAFASI YA MAFANIKIO UYATAKAYO...
No comments
Post a Comment